Ndoto ya Leo

Ndoto ya Leo

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Kwa mara ya kwanza nimeota nipo US nasoma. Nikapata mtoto mkaliiii black american. Ile naanza kuota kuanzisha biashara, usingizi unakatika. Muda wa job umefika.
Ndoto hii ina maana gan?
 
Hiyo ndoto maana yake ni israel alikua road anakuja kwako,usingeshtuka ungechomolewa roho!
 
Najua usiku ndio vizuri coz na nyota zinakua zimetoka kabisa inakua rahisi kuzitabiri!

Kumbe unao uwezo wa kufikiri nje ya box (pitch) sasa kwa utabiri wa awali , nianze kwa kusema rangi ya "purple" si nzuri kuitumia kwa siku ya mwazo wa juma!
 
Nakuja kukukaribisha

Huo utabiri ni batili kabisaaa!utanifanya nisije kilingeni bure!badilisha kauli la sivyo mteja utanikosa!
 
Wateja mbona nnao watejaPapa , watejaNyangumi, watejaJodari !
Nikimkosa mtejaKolekole! Sikondi !
Nway if symptoms persist seek medical advice!
 
Baki na wateja wako,mie huko siji,huo utabiri mmhhh!ngastuka machale kundesa!
 
Siku zindiko ulilomzindika loya likieksipaya ukinitafuta, ndipo utakapojua watu wa Pwani tunavyojua kusimanga mtu!
Iko siku najua utanisamamba! Ambapo namie ntakua sisamambiki .
 
Last edited by a moderator:
Siku zindiko ulilomzindika loya likieksipaya ukinitafuta, ndipo utakapojua watu wa Pwani tunavyojua kusimanga mtu!
Iko siku najua utanisamamba! Ambapo namie ntakua sisamambiki .

Si nitaenda kwa Mzizi Mkavu,ila utasamambika tu hiyo siku ikifika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom