leo napanda fastjet

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Jamani hapa ninapoandika ujumbe huu niko njiani nikielekea airport kupanda fastjet. Naomba mliowahi fly na hili pipa niambieni nitarajie nini.

Angalizo :
Sio mara yangu ya kwanza kukwea pipa. Maana hamkawii....
 
umembeba hela ya soda mku? safari njema mkuu.
 
Hongera mkuu
umelipa kiasi gani?
ulisubiri mda gani?
unatoka wapi kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom