JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Leo nikiwa nataza ITV Taharifa ya habari ya 6:00pm mwisho wakaanza tangaza watu waliopotea. Wakwanza mpaka wa mwisho wote ni mabinti tu kati ya umri wa miaka 17-24 na mmoja akionesha kuwa kama mfanyakazi wa ndani. Nikajiuliza, wanaopoteaga ni wakike tuu? Je hawajui mji au wanakwendaga wapi? Nisaidieni kuchambua hili bhana