JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei. Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu. Ni starehe ya aina...
9 Reactions
262 Replies
13K Views
“Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru” ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi I’ll take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo...
10 Reactions
356 Replies
15K Views
Ayaa! sikukuu nyingine hiyo inakuja pasaka. PASAKA. YA MWAKA HUU WAMEKUJA KIVINGINE KABISA, WAREMBO PESA ZAO WAMEGEUZA MITAJI YA MADUKANI WAO NI KUJILIPUA ILI WABABA NA WAKAKA MKAZMIKE KWAO KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa aliyeko lonely aje hapa tupige story Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Mtoto aliamka mapema kuliko kawaida kwenda shule.baba kamuuliza mbona umewah sana? Mtto:nawah sambusa za mwalm. Baba:pumbavu mie niljua unawah kusoma kumbe unawaza sambusa Mtto: funguka baba elimu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
872 Views
mle mhola bayanda na banhamhala kinehe mle sele gete?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya majina yanayoanzia na herufi '' T '' sijui yana nuksi gani?? TIGO - Mtandao m'bovu kushinda yote duniani TFF - (Mpira wa miguu) Chama cha soka kilichojaa rushwa mpaka kero TANESCO - Hawa...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Cjui ni ushamba wangu au kutokutembea..! Eti ushawahi kumwona mwanajeshi Zeruzeru? (ALBINO). Mchana mwema
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muda mfupi kabla ya Muya kuhudhuria ktk mwaliko, mama yake bhabra alilalamika mbele ya bhabra (mwenye miaka minne) kuwa hapendi kula na muya kwa kuwa muya anatafuna kama nguruwe. Baada ya muya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mweee nzuri, sijui katokea tanga? kweli Chimbuvu anafwaidi
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mkuu, ulishasema hapa jf kuwa wewe ni "agnostic". Sasa naomba kuuliza, is it possible to be "agnostic christian"? If yes/no why? Wewe upo upande upi wa agnotism? Karibu sana. Kwa asiye...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Cheka unenepe; Mlevi alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala ------ wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ukiwa unaongea uongo uwe unajipanga vya kutosha,.Jamaa mmoja alipata aibu ya mwaka baada ya kujifanya baharia akawambia watu aisee nimezunguka bandari zote dunian, kama china, afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shekhe alikuwa anakatiza mtaan,Punde akamwona mtoto mdogo yupo getin ameshindwa kubonyeza shwich ya kengele.Shekh kwa uruma ikabidi ambebe yule mtoto akabonyeza kengele.baada ya hapo akamwuliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na Vasco Da Gama kwenda mara kwa mara airport kukwea pipa katika safari zake za kihistoria, dogo mmoja mtaani kwetu ameshauri ikulu ijengwe Kipawa Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mchizi alitaka kunichomoa buku ila alizunguka sana jamaa:unasoma chuo gani mwanangu nyamu: udsm jamaa: palepale mlimani? Nyamu:ndyo jamaa: palepale aliposoma kawawa? nyamu :ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii imetokea huko Manzese Jijini Dar es salaam. dogo mmoja umri 12, awaacha watu midomo wazi ni baada ya kuingia bar na kuagiza bia aina ya "kilimanjaro" kama vyupa 11. Kimbembe ni pale waiter...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unajua vijana wa kitanzania watundu sana... hebu wasikie hawa. Kama umezaliwa nyota yako ya mbwa, basi usishangae kuwa mlinzi mpaka kufa kwako. Kushupalia vitu usivyovijua, ni sawa na kuingiza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sipati picha siku nasoma ujumbe kama huu!! Mkuu Arushaone,hebu tupe siri ya ushindi kuishi bila marungu ya MODS kukupiga!! COPY: Mungi Baba V Andindilile cacico Mpenda Yesu Ritz zomba Yo Yo...
1 Reactions
135 Replies
7K Views
Back
Top Bottom