Si ushamba wako ,bali uelewa wako ndio tatizo, hujui kuwa kazi jeshi inataka able bodied person ?je unahisi itakuwa rahisi kwa mlemavu wa ngozi to endure scorching sun in a parade?Cjui ni ushamba wangu au kutokutembea..! Eti ushawahi kumwona mwanajeshi Zeruzeru? (ALBINO). Mchana mwema
Cjui ni ushamba wangu au kutokutembea..! Eti ushawahi kumwona mwanajeshi Zeruzeru? (ALBINO). Mchana mwema