JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
guest-1787677255
Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa. Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani. Wazee hii baridi...
11 Reactions
74 Replies
3K Views
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
4 Reactions
18 Replies
849 Views
Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa. Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Kumbe NUNUNE ndo yule muheshimiwa kule kjan na njano kwa wakina dada, hii ngoma leo ndo nimeielewa bado ya miaka 7 kupita toka itoke
1 Reactions
3 Replies
304 Views
Hali hii leo mbona kazi ipo! Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni...
60 Reactions
259 Replies
8K Views
Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
3 Reactions
2 Replies
410 Views
...mboni ichafukapo jicho huwa mashakani... ...Ni mbali we uliko nasijui..UHALI GANI... ..nikumbuke kwa PM hata wa kucomment post hii wazima wana JF... Uhali Gani - YouTube
9 Reactions
202 Replies
9K Views
samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu. Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why...
29 Reactions
210 Replies
10K Views
Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo.... Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu. Naona...
11 Reactions
142 Replies
4K Views
Njoo mchangie hii mada nitakuwa nawauliza maswali kutokana na comments zenu "ANIMAL FARM'
3 Reactions
13 Replies
453 Views
Habari za Majukumu wakuu. Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya. Ningeomba niende moja kwa moja kwenye hii mada na nitaielezea kwa ufupi. Ni kisa nilichokutana nacho katika chombezo la hapa...
3 Reactions
9 Replies
435 Views
Uko single au bado unanyapia nyapia vya watu. https://youtu.be/5KeFyyy5CTI?si=GPpwndUt8DAGhDjq
7 Reactions
110 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf.. Ningependa kushare na ninyi mambo machache kabisa ya kuangalia kwa kijana uliye maliza chuo,unaye anza maisha na uliyeko chuoni pia 1Aina ya kazi Usichague kazi ya kufanya...
17 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa
5 Reactions
13 Replies
712 Views
Je ni kweli kuwa kwa sasa hapa tanzania, watu wanakula mende?
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Mama wa kambooo Mbona wanitesaaa Kaaa pekeakooo Koma kunipigaaaa Mbali na weweeee Wembe wa kuchaaa Chakula kitamuuu... Endelea............
1 Reactions
11 Replies
337 Views
Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika Juzi wazee nilishikwa...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
19 Reactions
73 Replies
2K Views
Back
Top Bottom