JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!! Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
35 Reactions
301 Replies
20K Views
Minaona.... Shida sio kuacha pombe...🤨 Shida ni..... Hiyo pombe tunamuachia nani...🤔
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande?? Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
2 Reactions
5 Replies
440 Views
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi. Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3. Cha ajabu na kushangaza...
1 Reactions
4 Replies
440 Views
Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
1 Reactions
10 Replies
568 Views
Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya...
2 Reactions
18 Replies
649 Views
USICHANGANYE urafiki na kampani kuna tofauti kubwa kati ya upole na tunafanyaje! 🤔
2 Reactions
0 Replies
198 Views
1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo. Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha. Na hapo alipo mtoto...
3 Reactions
13 Replies
761 Views
Ukitanua paja ni dalili ya kutaka kujamba utakamatwa kwa kosa la kutaka kujamba ili kukuzuia usifanye kosa ilo utakamatwa na kuambiwa ulikamatwa kwa kosa la kuonesha viashiria vya kutaka...
2 Reactions
4 Replies
580 Views
HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE...... Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi .... Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko...
2 Reactions
3 Replies
483 Views
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Jijini Arusha kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni). Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu...
27 Reactions
35 Replies
11K Views
Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nimepata uvivu wa kupika lunch. So kwa kuwa muda umekwenda sana nimeona vyema niandae chakula cha haraka nachokipenda sana kisha niwakaribishe wanaJF wote tuje tushirikiane chakula cha mchana...
3 Reactions
8 Replies
467 Views
Wadau Leo nitalala Hungumalwa. Naomba maelekezo lodge au guest yenye pisi kali
9 Reactions
102 Replies
8K Views
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Back
Top Bottom