Dar to Arusha =646km, Arusha to Dar =646km; Ground floor to 15th floor = 15 floors', 15th floor to Ground floor = 15 floors; Monday to Sunday = 7 days, Sunday to Monday = 1 day....This is...
Serikali ya Tanzania imeruhusu watu kutumia mitandao ya simu (Voda, Airtel, tiGo n.k) baada ya kulipia buku kwa mwezi. Hii ni ili kuongeza mapato ya serikali.
Huu ni mkakati wa majaribio ambao...
jaani nisaidieni nimekata mitaa sana hapa Tanzania nimeona mabango mengi sana ya kujitangaaza waganga wa kienyeji utaona mganga kitoka sumbawanga, kigoma,tanga, taveta kenya na mikoa karibu yote...
Habari wana jamvi naomba tujikumbushe nyuma kidogo, maisha ya shule ya wakati uleee
Nakumbuka wakati namaliza shule ya msingi mwaka 1989 nilikuwa na miaka 16. Nilionekana mdogo sana darasani...
hi all members of jf, kuuliza cyo ujinga bali ni kuongeza new knowledge to existing knwldg, nmejaribu kusoma post na comment nyng nimeona neno PM bt cjaelewa lina maana gani na linatumika in whch...
Imagine a beautiful girl fainted and you took her to a hospital. Doctor says, congrats! youll soon be a father!
YOU GET TENSED! You say, but that baby is not mine.
Girl says, he is the...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha,
kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja
akaingia,
akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara
ya
msalaba akaanza kuungama.
== "Padri naungama...
INBOX SMS ZA MSICHANA KWENYE SIMU
Frank: I love u gal.
M pesa: You have received 15,000 kutoka kwa John
Tesha.
Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo.
100: Umepokea muda wa maongezi...
Leo majira ya mchana nikiwa natokea Gymkhana Club kupitia Ghana Avenue nilikuwa nimefuatana na Rav4 moja ya rangi ya kijivu ikiwa mbele yangu, tulipokatibia makutano ya Ohio tulikutana na jam moja...
Madame B na Mtambuzi tumeshawasili........ananicheka eti kufika tu naanza kufakamia Dompo.
........kwa mbali unawaona Paloma na amu.....
Kipaji Halisi hebu changamka bhana.........umekuja...
Ili sikika sauti ya mwanafunzi akisema jamani mwalimu(ke)......... anakuja, baada ya dakika kama mbili hivi daras lote lilikuwa kimya maana huyo mwalimu aliye semekana anakuja darasani kwakweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.