Unafikiri nakutania,
Ukijaribu tu kumtukana yule jamaa wa magogoni humu jamvini umepigwa ban
ukijaribu tu kumsema vibaya yule mwanzilishi wa m-pesa umepigwa ban
ukijaribu tu ...........
Jubilee closed door meeting (Leaked)
Topics: ada wear, mabo, sasa, sita, zuma
I have just attended a closed-door meeting where plans for the BIG UHURUTO BASH PARTY were being discussed. All...
Kutokana na kutokuwepo kwako kwenye jamvi kwa muda mrefu, wanachama wa JAMII FORUMS tumeitisha mchango ili kukunulia Blackberry mpya kabisa ili uweze kupata mambo na uhondo kutoka kwenye forum...
Hayawi hayawi yamekuwa!
Mapenzi ya dhati yana vituko sana jamani, naweza kufananisha na ile hali ya mwanamke mjamzito! ndivyo nilivyokuwa nateseka muda wote! Lakini hatimae nimetulia...
TAIFA LANGU
*Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela
*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama...
Ni huyu shansarie..
Wandugu na Msio wandugu, niwaambieni tu kuwa huyu ndiye
Anayenidatisha sijui nijifananishe na nani humu ndani
Nikisema labda Filipo na marejesho..mh! hawafikii
Nikisema...
heshima yenu wana jamvi nilipoiona hii picha katika internet,moja kwa moja nikapata mawazo kwamba huyu mrembo kafanana sana na smile,nashindwa kuewewa hizi hisia zimenitokea wapi lakini pia...
Zinasema ya kwamba kuanzia wiki ijayo mdudu wa masala atakua safarini toka mombasa KE via taveta border kituo misungwi kukutana na ndugu jamaa na marafiki.atakae soma tangazo hili amuambukize...
Happy Birthday Charminglady..........
Duh, Charminglady katokelezea mbaya...........
May your birthday be filled with sunshine and smiles, laughter, love, and cheer.
Copy to Madame B, Kipipi...
Dokta: Mama
tumemchunguza mumeo
kwa makini sana, jopo lote
la madaktari
tumekubaliana mumeo
anahitaji mapumziko japo
ya mwezi. Sasa tafadhali
chukua hivi vidonge vya
usingizi vitasaidia...
Huu ni mwendelezo wa Ile Thread ya watu8 kule Jukwaa la Picha. https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/493064-my-list-most-beautiful-tanzanian-female-celebrities-11.html
Wadau nipeni list yenu...