Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
heshima yenu wana jamvi nilipoiona hii picha katika internet,moja kwa moja nikapata mawazo kwamba huyu mrembo kafanana sana na smile,nashindwa kuewewa hizi hisia zimenitokea wapi lakini pia nimeshindwa kujishwawishi kwamba smile hafanani na huyu kiumbile
kwa mliobahatika kumuona mrembo Smile naomba mnipe ukweli juu ya hili au ninajidanganya tu mwenyewe
cc Smile Kongosho Lady Heaven on earth Bujibuji watu8 n.k

kwa mliobahatika kumuona mrembo Smile naomba mnipe ukweli juu ya hili au ninajidanganya tu mwenyewe
cc Smile Kongosho Lady Heaven on earth Bujibuji watu8 n.k

