Jamani Toria, moyo wangu mie!

Jamani Toria, moyo wangu mie!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Hayawi hayawi yamekuwa!

Mapenzi ya dhati yana vituko sana jamani, naweza kufananisha na ile hali ya mwanamke mjamzito! ndivyo nilivyokuwa nateseka muda wote! Lakini hatimae nimetulia tuliiiiiiiiiiiiiiii, moyo wangu umepata hifadhi hatimae! Huyu binadamu mwenye jina la Toria ni kati ya wanadamu spesheli sana katika maisha yangu muhimu! Moyo wqangu upo ndani yake na moyo wake upo ndani yangu! TUMESHIBANA!

Shukrani nyingi ziende kwa familia ya kiwatengu na shansarie ambao walijitolea kwa hali na mali kuhakikisha kuwa na mm nakuwa kati ya watu wenye furaha katika ulimwengu wa mapenzi!

Nakumbuka kiwatengu alinidhuru wakati nikihangaika kumtafuta ubavu wangu huku na kule, halafu baadae mkewe shansarie akanitibu, halafu baadae tena wakajitolea kwa hali na mali kufanikisha ndoto yangu ya kupata ubavu wangu kipenzi Toria! Ahsanteni sana na naomba muendelee na wema huohuo kwa wengine, isiishie kwangu tu!

Kwa heshima na taadhima nakala hii iwafikie wafuatao(protokali imezingatiwa) Bishanga, Lady doctor, Heaven on earth, mimisa, Mwanathropolojia, Arabela, nitonye, Kaizer, gfsonwin na wengine wote ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa nami bega kwa bega katika mateso yangu!

Tuonane baadae kidogo sasa hv nipo bize na bebi wangu Toria, nampetipeti!

Ahsanteni sana!

I LOVE YOU Toria mwaaaaaaaaa............!!!!!!! :A S kiss: :A S kiss:
TheDealer!

(tafadhali sana Blue G usiisome huu ujumbe, wewe hukawii kuharibu)
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo huyo alikuwa amezagaazagaa?.anyway hongera sana thadealer
 
Last edited by a moderator:
nasubiria jibu la Toria..
 
Last edited by a moderator:
jamani ndugu utapenda wangapi katika ulimwengu huu wa cc hebu tulia na huyo uliyenaye mbona wenziio tunatulia nao hata kama wanatuletea matatizo na kutupa presha za ups, iweje wewe utulii why??? he

sasa na wewe ladyfurahia jamani mbona hivyo? kwan mm nilikuiwa na nai kabla? si nilikuwa singo mm!
mahabuba wangu wa ukweeeee Toria namlove mwanzo mwisho! nimetulia tuliiiiii sina mshawasha mie!
 
Last edited by a moderator:
haya endelea bhana sikubhughuzi kabisa ila angalia yasije kukupata kama yaliyompata KH
sasa na wewe ladyfurahia jamani mbona hivyo? kwan mm nilikuiwa na nai kabla? si nilikuwa singo mm!
mahabuba wangu wa ukweeeee Toria namlove mwanzo mwisho! nimetulia tuliiiiii sina mshawasha mie!
 
Bana TheDealer hebu tufunge huu mjadala rasmi ili tupate kujadili unyumba wetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom