Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Za asubuhi wana CC, karibuni tunywe chai na kiporo cha wali maharage na kisamvu
wewe ukinywa chai, na Bakhressa atakunywa nini..?
Marhabaaa mdogo wangu, kumbe umefunga, nilitaka nikutoe lunch