Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1.Umeshika simu yako ya mkononi.
2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba.
3.Wewe ni binadamu hai kabisa.
4.Huna jeuri ya kusema neno...
Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe.
Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu...
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake, siku moja alinishangaza sana, MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote, CHAKUSHANGAZA, Mdai ashakumu simatusi, unagongwa...
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.
Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua...
Siku moja mtoto Alichukua Passport ya mama yake na Kuisoma Akaona
Name : AMINA,
Place : BUKOBA,
Birth : 1979,
Sex : F,
MTOTO Akamwambia, "MAMA Hauko Serious, Kwenye Sex Una F, MSHUA atakutema...
Hi wapendwa mwenzenu hii simu inanichosha sasa.
Nina iphone3g nashindwa kudawnload kwasababu sina apple id nimejaribu kufungua kwakutumia hii simu nashindwa kwasababu KWENYE billing hamna...
Hakya nani vile nimebakia tu mimi peke yangu bado sijawa presidaa, watu ni mapresdaa wa wasafi, wengine wachafu, wengine mapresidaa wa wembamba, mara mapresidaa wa matozi, hadi kingwee ndani ya...
jamaa fulani alikuwa ametulia beach,mzungu akapita akamuuliza"are you relaxing?jamaa akawa
hajamuelewa akajibu no,mzungu mwingine akapita akamuiliza vilevile,akaona hapa nasumbuliwa akasogea...
A woman was having sex with her
lover in her apartment, Suddenly
she heard her husband
arrive.
She told her lover, stay like
statue and Don't move.
Husband: Who is this?"
Wife: This is a robot I...
Watalii wana dharau sana bana, Mtalii amekodi boti anazunguka nalo kwenye mto zambezi kuangalia mandhari,akamuuliza kijana anayeongoza boti, "do you know biology,psychology and anthropology?"...
Wadau wote wa cc na jf kwa ujumla
..... Asalam Aleikum
Kama mnakumbuka Mtambuzi alituma hizi picha juzi kutoka huko kwao
alikoenda kuonyesha malalo ya babu yake wa saba ; Baada ya kutuma hizi...
Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita...