rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
wadau niko hapa nakunywa biere , keso laga kaibuni
mkuu mi nakunywa apa opposite na millenium towers karibuWapi upo tuje kukunywa?
Waungwana wanasema huko ni kujenga nchi, mimi najengea apa uhuru peak karibu nawe...😕😕😱
Jamani hakuna aliyepo hapa Makumba Bay.......tubomoe Zanzi.........
Zanzi will do you some good. Have fun while watching who is behind.......
Tatizo vinywaji tunavyokunywa wengine havihitaji company
wadau niko hapa nakunywa biere , keso laga kaibuni
Wapi upo tuje kukunywa?
Wewe upo Makumba Bay.......?