Cnkwabi
Member
- Sep 9, 2012
- 97
- 22
jamaa fulani alikuwa ametulia beach,mzungu akapita akamuuliza"are you relaxing?jamaa akawa
hajamuelewa akajibu no,mzungu mwingine akapita akamuiliza vilevile,akaona hapa nasumbuliwa akasogea
mbele kidogo ya maji akmuona mzungu mmoja alikuwa ametulia akamuuliza "are you relaxing?mzungu akajibu yeeees,jamaa akamkata mzungu bonge la kofi na kumwambia kumbe wewe ndo relaxing LIONE KWANZA hebu inuka unatafutwa na wenzako,shenzi mi na sumbuliwa na wenzako kule we unaona raha tu kuchezea maji........!