Nina ma-stress - Niende wapi jioni ya leo?

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,862
I wanna dance with some body! Natafuta mrembo wa kwenda nae!
:heh::heh:
[/video]



 
Last edited by a moderator:
Kampani tu! But I want to be a "good boy"....so either way I am ready!

Any suggestion?

Sina zaidi ya kukutakia kila la kheri .
Nway remember actions often speak louder than words .
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Utakapompata huyo wa kuinjoi nae, basi mtendee mengi ya vitendo than story!
Kwani vitendo huongea zaidi kuliko maneno! Nna imani utafanikiwa.
 
Utakapompata huyo wa kuinjoi nae, basi mtendee mengi ya vitendo than story!
Kwani vitendo huongea zaidi kuliko maneno! Nna imani utafanikiwa.
Vipi 'kiwanja' gani ungependekeza kwa hapa Dar?
 
Sorry, mi hivi niko Kisangani (DRC) kitambo!
So far currently Dar situation sina roadmap!
Request wadau wa Dar watakupa ramani.

shem ukitaka kurudi naomba unijulishe maana kuna kitu nataka uniletee kwaajili ya kuwalipua maadui zangu wote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom