Mtambuzi .................. Taarifa ya kupotea kwa Mtambuzi

Mtambuzi .................. Taarifa ya kupotea kwa Mtambuzi

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,738
Wadau wote wa cc na jf kwa ujumla
..... Asalam Aleikum

Kama mnakumbuka Mtambuzi alituma hizi picha juzi kutoka huko kwao
alikoenda kuonyesha malalo ya babu yake wa saba ; Baada ya kutuma hizi
picha hapatikani tena.

3698918.jpg


............Kutoka kwa mkewe Mama Ngina anasema kuwa Mtambuzi hapatikani
kabisa kuanzia jf, fb, na .com zote amejitahidi ameshindwa.

..........Mimi kama mama yake wa hiari nimeletewa malalamiko hapa kijiweni
mchana huu na mkewe mama ngina.

Naomba msaada wenu kupitia makamanda walioko humu jukwaani ili huyu
kaka arudi kwa mkewe na watoto wake.
image.php
 
Last edited by a moderator:
Pole yake ataibuka anafoka moshi kama nsyuka.sasa hivi yuko between legs haelewi wala haoni na hajui tena habari ya m23 wala yuko goma mzee yule
 
Hapo thatha,
Huku anajiita simba mzee
Ngoja apewe ushirikiano kwanza.

Pole yake ataibuka anafoka moshi kama nsyuka.sasa hivi yuko between legs haelewi wala haoni na hajui tena habari ya m23 wala yuko goma mzee yule
 
Ukimuona,ukimuona Mtambuzi
Mungu aliomba dunia,mapenzi tangu na tangu,yashamkuta Mtambuzi .kamuacha mke wake moyo unamdundadunda
nenda kamwambie mabinti mabinti wabaya ohoooh tatizo kaaacha mke na watoto na kapotea hawatambui.na kinachoumiza manenomaneno hayaaa
 
Last edited by a moderator:
jamani Mama Ngina pole besttito ndo mambo ya ulaya hayo
vumilia tu atarudi usife moyo best wangu
ila kumbuka kuwa midume haina adabu/akili kabisa
wala haikumbuki home kabisa utafikiri imetiwa mbawa
 
Last edited by a moderator:
Kweli baba huna,
Nimejaribu kupiga kamobitel kake
kuna mdada amepokea,
anacheka kweli kweli kasemaje unajua
...........namujua munamutafuta hii Mtambuzi iko hapa
hapa imepumuzika imechoka sana sana
...............

Mamndenyi huyu mzee wangu Mtambuzi wala hajaniaga but niliposoma hiili bandiko nikingia kwenye king'amuzi nimehabarishwa mmoja wa wale mabinti alioptutumia picha zake mmoja wapo naye katoweka huko kwao so hatujui kinachoendelea kule alikoenda sina uhakika atarudi au ndio mazima!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli baba huna,
Nimejaribu kupiga kamobitel kake
kuna mdada amepokea,
anacheka kweli kweli kasemaje unajua
...........namujua munamutafuta hii Mtambuzi iko hapa
hapa imepumuzika imechoka sana sana
...............

Hahahahahah!

Akirudi huko lazima atasingizia alitekwa na ile kikosa yenye uhasama baada ya kutambulika ni mtz na story kibao ww subiri tu akirudi utasikia!!
Chezeiya Mtambuzi ww!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa habari zilizosambaa huku mtaani ni hivi:

Baada ya LiverpoolFC kupewa vitu adimu na kaundime kisha kwenda kumhadithia Mtambuzi. Mzee mzima akaamua kujitupa uwanjani.

Hakwenda Goma wala nini. Amefichwa maeneo flani.

Picha zitawajia hivi punde.

UTAMU hoyeeeeeeeeee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa habari zilizosambaa huku mtaani ni hivi:

Baada ya LiverpoolFC kupewa vitu adimu na kaundime kisha kwenda kumhadithia Mtambuzi. Mzee mzima akaamua kujitupa uwanjani.

Hakwenda Goma wala nini. Amefichwa maeneo flani.

Picha zitawajia hivi punde.

UTAMU hoyeeeeeeeeee!!!!

hivi na wewe Mzee Mzima unakuwa mkuda jamani umeshaanza kutembea na Bishanga kwenda kwenye vilabu vya pombe?????
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom