JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
(1)kwenye daladala (2)disco (3)kanisani/msikitini (4) ulipokosea namba ukipiga simu ndo ikawa mwanzo wa kujuana (5)kwenye sherehe/msibani (6) bar/hotelini (7) facebook (8)barabarani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maongezi ya hawara na buzi lake yalikuwa hivi:- BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua! HAWARA: kwanini mpenzi? BUZI: siku hizi huniambii asante kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi kusingekua na mawingu tungekua tunaona nini mtu ukitazama juu...eti
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UTAMUELEWAJE JOHN joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa...
5 Reactions
45 Replies
9K Views
Hebu tuambizane pa kuonana, nipo kwa visiku viwili vitatu
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Girls are very hard to understand,they are busy looking for hard working men yet they dont respond to greetings given bt brick layers ooooooh!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Demu kampigia cm boyfrnd wake »mwanadada» halloo mpenzi uko wapi? »Jamaa»nipo mahali napata lunch »mwanadada»mm mwenyewe nackia njaa ucsahau kuniletea namim,chipc kuku,mayai ma3,ndizi 5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika simu! BOY: Hello baby boo... uko wapi? nimekumiss mwenzio! GIRL: Honey, niko samaki samaki hapa napata lunch, then namsubiri driver wangu aje kunichukua anipaleke chuo... Wewe uko...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mchumba mwenye kuijua dini ya kiisilamu..aliyetayari ani PM
0 Reactions
2 Replies
872 Views
habarini Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Hiv jamani ni bora ni CHAgue DEmu MAlaya au ni Chomoe Chupi Matakoni? Naombeni mnishauri
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mke: "Naomba tuongee mume wangu." Mume: "Ongea." Mke: "Ni kuhusu huyu house girl wetu." Mume: "Hilo ni tatizo lako, halinihusu!" Mke: "Ana mimba.." Mume: "Hilo ni tatizo lake...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hatimae wezi nao wametangaza mgomo,wamegoma wakishinikiza siku zao ziongezwe,badala ya siku za mwizi "AROBAINI" wanataka ziwe "THEMANINI" kweli Tanzania bila migomo haiwezekani,weka mali zako nje...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna pastor mmoja hupenda kuchangamsha waumini wake wakati wa mahubiri kwa kuwaambia "Mwambie jirani yako Yesu anakupenda" Siku nyingine akawa anahuburi kuhusu wanawake wasio pata mimba akaambia...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
kuna siku niliwahi tembea tokea posta mpaka mwenge kwa mguu wadau..wewe je??
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni true story wadau. Hivi majuzi maeneo ya Misugwisugwi Picha ya Ndege , ndugu zetu Wazaramo walimkamata mwizi. Panja huyo alikua ameiba godoro , baada ya kukamatwa alikiri kuiba. Kilichofata...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Unakumbuka nini? Ni cha furaha au huzuni..!? Jiachie
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…