JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna muda kama huu nakuwa nawashwa kabisa kuanzisha uzi JF lakini nakuwa sina la maana sana la kuandika kwenye huo uzi. Hebu wataalamu wa kuanzisha nyuzi nipeni idea hapa, nianzishe uzi wa...
6 Reactions
24 Replies
669 Views
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Nikiona magari ya OYA Yanakuja kwenye duka langu
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita, Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina...
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa...
14 Reactions
70 Replies
3K Views
Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
0 Reactions
6 Replies
395 Views
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo...
19 Reactions
148 Replies
8K Views
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto...
1 Reactions
112 Replies
4K Views
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya...
1 Reactions
5 Replies
832 Views
Kuna metals zimetajwa kati ya izo tisa hapo na bado bongo ni maskini
0 Reactions
8 Replies
376 Views
Habari wanajamii forum: Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita. Mpendwa...
14 Reactions
620 Replies
69K Views
Mzee anayeamka mapema kwenda kufanya kazi alikuwa kijana aliyelala sana. Kuna hatari endapo mmoja atakosa usingizi, Lakini kuna hatari kubwa zaidi endapo mmoja atasinzia sana. VIjana tujitahidi...
3 Reactions
1 Replies
209 Views
Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe...
1 Reactions
0 Replies
310 Views
duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum? Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi...
6 Reactions
24 Replies
821 Views
The flame on your birthday candle can dissappear, but the flame of love for you in my heart will not. Thank you for always being there for us...Happy birthday champ Kingsmann Kingsmann Kingsmann
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Kimyaaaaa!
2 Reactions
3 Replies
498 Views
Ila watu wana maneno aisee.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
2 Reactions
6 Replies
656 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…