JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa kaingia kwenye panel ya interview akaambiwa please wait, jamaa akajibu 75kg.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni mwaka 1 umepita tangia niporwe demu na brother yangu,Nilipokuwa kidato cha 3 nilibahatika kuwa na demu na nlipanganae nitamuoa wala cntamchezea nikaona bora nikamtambulishe kwa bro,bro...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waache wavute sigara na ganja we vuta mkwanja
0 Reactions
0 Replies
983 Views
imenibidi nismile baada ya kuona hii picha na maneno yake! lakini najiuliza, dogo alifurahishwa na nini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Watanzania kweli wamezaliwa nao,maana mtu yupo radhi kesho ashinde njaa siku nzima kisa kuwaona P-Square!!!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mshahara wako 260,000/= hand bag yako 140,000/= una drive gx 110 hills zako 140,000 n above una tumia note 3 den unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napata majibu haba kwenye maswali lukuki . Fedha , Pesa , Mane , Mkwanja , Mavumba , Shilingi, Cash , Magoto , Doo , Ponyoo , Pakee , Rupia , Sarafu , Hela , Senti , Choro n .k n.k . Huu wingi...
0 Reactions
7 Replies
870 Views
Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF. Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki...
10 Reactions
193 Replies
10K Views
Leo tarehe 20 November! Ni siku ya furaha sana sana! Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa.. Honey! Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa...
27 Reactions
168 Replies
20K Views
Shemeji . Sisi familia still yet tunakutambua wewe ndiyo mume wa dada yetu . Pamoja na hilo Shemeji , umekua ukimtesa mno dada yetu , na ukware wako . Mara kadhaa mkeo katuletea mashtaka yako...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Rejea wakati Mungu alipotaka kuteremsha gharika , alimuamuru Nuhu atengeneze Safina , na kwayo aingie na watu wake waliomuamini , aidha na wanyama wake . Safina ilipokua majini (baharini)...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Mimi nakumbuka enzi hizo nipo shule ya msingi mengeni pr school marangu namkumbuka sana mwalimu wangu kiwoli msimu wa mahindi ya kukaanga ukifika unakuta jamaa kakaanga karibu nusu rambo lol...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
----- 1 alitoroka kazin nakwenda kwake kufika kwake alimkuta bosi na mke wake(mke wa -----)jamaa alipoona alinyata taratibu na kuridi mbio kazin alipofika kazin alishukuru mungu kwa vile hajaonwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
uko club na dem wako mzuri tu! mmecheza mziki sana tu mara mmekaa pande fulani hivi mmerelax.. dem wako ni mzuri sana ile mbaya!!!!!! mara katokea jamaa kama huyu (kwenye picha), akamshika dem...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Masai kaenda kanisan kaishia nje PASTOR akauliza Yero mbona huingii unakaa NJE? MASAI akajibu Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Marekani wakagundua kifaa cha kugundua wezi. Kikapelekwa Ufaransa ndani ya dk 15 kikabaini wezi 50. China dk 35 wezi 60.Brazili kwa saa 1 ikabaini wezi 150. Sasa kikafika bongo ndani ya dakika 5...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimeshuka vizuri tu pale Ubungo bus terminal na nikakutana na wenyeji wangu ambao walikuja kunipokea. Kwa kuwa walikuwa wanaishi mbagala na usafiri ulivyo wa mashaka ilituchukua masaa matatu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011. Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil...
0 Reactions
7 Replies
901 Views
Success always hugs you in private...! But failure always slaps in the public...! Thats life... Gud day friends
0 Reactions
5 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…