Kwa watumiaji wa treni la Mwakyembe watakubaliana nami kuwa kuna raha zake !
Mojawapo ni kama hizi
Mojawapo ni kama hizi
- ni sehemu nzuri ya kukutana na watu wapya'
- Kuna kla aina ya watu warembo,watanashati mahandsome,nk
- uNAWEZA UKATAMANI KUENDELEA nalo Hadi BAGAMOYO!,
- Achilia mbali wale ndugu wanaotoka kazini saa 11 wanakaa Glosary ya reli hadi tripu ya saa 2 pamoja na kuwa huudma za pale bado sna!
- AU NASEMA UONGO!