Msomi mmoja alikuwa anafanya
utafiti, akamchukua chura
akamwambia 'Ruka', chura akaruka
mita 4, msomi akaandika katika
kitabu chake kuwa chura mwenye
miguu minne huruka mita 4. Kisha...
Brothermen mmoja aliyekuwa akijifanya anajua ungenge huku akijifanya yeye ni matawi ya juu alikwenda kupata msosi yeye na demu wake.Si unajua mabishoo kwa kupenda kujikweza? Basi demu akaagiza...
Ukitaka kujua mwanamke wako ni mkali basi nenda naye posta mpya ya dar, walahi utamuacha kituo cha daladala maana ndo utajua kumbe wanawake wakali wapo na wako si kitu, kila nikikanyaga posta...
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate.
Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa.
Cc Baba V...
Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa damu na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kuwataarifu wafanyakazi wenzie kazini...
Wana chit chat!
Mpendwa wetu Paloma leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.Muda mfupi uliopita nilifanya kazi ya kumfunga nepi,na nimeahidi ikifika saa sita ntaenda kumbadilisha.Mpenzi...
jamaa katoka zake kanisani,kufika hom akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu,mke:"mume wang leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati mpaka kunibeba namna hii"mume:"Aah wapi aisee., mchungaji kasema...
Habari zenyu binafsi......
Tulikuwa mahali tunapata Dinner, mimi na watu wawili. Mtu wa kwanza sikumfahamu ila mtu wa pili alikuwa Mwigulu Nchemba, alikuwa kavalia zake singlendi nyeupe na...
Ni kipa wa timu iliyofungwa 7-0 na Yanga............akinukuliwa amesema kwamba si kwamba yeye ni mbovu ila safu ya ulinzi ya timu yake imemuangusha na yuko tayari kukipiga kwa mkopo hapa...