Wanaidawa kuwa na upendo, huwa maarufu sana, ni watu watulivu, wenye amani na pia wanasifika kuwa na uvumilivu
Inadaiwa Watu hawa huwa na mtazamo chanya wa mambo na hivyo huwafanya kuwa werevu na...
Wasalam ndugu wana Jf,
Aise ndugu yenu nina shida, Kuna mtu namtafuta yapata miezi tisa sasa, PM yake ipo locked na pia hajawahi post kitu chochote ndani ya muda huu.
Huyo ni Madam S, tafadhali...
Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana, mkikosana siku ya kesi uwanja mzima unajaa magari ya nyumbani kwao, alafu ukute kuna ndugu zake wengine wapo Nje ya nchi wanafatilia kesi Online...
Nipo bongoland nchi ya Nyerere mkoa wa Morogoro palipojaliwa miradi miwili mikubwa reli ya SGR na Nyerere dam only kama vitakamilika nipo msamvu kijiwe kipya naona kinaitwa Starpark Msamvu ila...
Ukipita mitaani utakuta wanamjadili P Didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je, mmesoma makala ngapi?
Je, mnaweza hata kusikiliza interview ya...
Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss.
Mfano huyu wa...
Wakati nipo kwa matembezi yangu jioni hii kwenda kutafuta chimbo la kumaliza week. Nimeokota calculator kubwa halina vibonyezeo kwa mbele lakini ukibonyeza vitufe vya pembeni linawaka na kuandika...
Toka jana usiku saa 4 mpaka muda huu bado anakoroma tu na hajanigusa hata unywele.
Nimetoka asubuhi na gari yake nimeenda church nimerudi yeye hajui chochote.
Na ndio jana tumeanza mahusiano...
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.