Tanzania hakuna amani tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania hakuna amani tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BIG X, Nov 11, 2011.

 1. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........

  Hakuna Amani tena!!

  Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
   
 2. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Amani iko wapi kama unakuwa mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe!!! Hakuna viongozi wa kusikiliza shida za wananchi, ni mabomu tu.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  Kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu imtoke maskioni ndo ataskia.
   
 4. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mwisho wa mwaka utasikia jeshi limetumia bilion 26 kutuliza ghasia ambazo zinazungumzika.
   
 5. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!.

  JK ajiuzuru sasa.
   
 6. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakati hizo hizo hela wanafunzi wangeweza kumaliziwa shida zao.
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,796
  Likes Received: 2,570
  Trophy Points: 280
  Tumekuwa mabingwa wa management by cricis utawala wa zimamoto.
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  kwani amani imewahi kuwepo?
   
 9. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BABATI hali ni mbaya sana leo.
   
 10. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hebu weka picha hapa za uhakika kama zipo mjomba, huko ndio manyara kwenyewe.
   
 11. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Si kila siku magamba wanajitamba wanaleta Amani tanzania. Sasa leo imekuwa kwa vitendo Nchi nzima.

  Juzi tu ilikuwa mwanza, karatu sec, Arusha etc.........
   
 13. s

  seniorita JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jamani kwenye taarifa mtujuze maana wnegine tuko mbali kwa sasa; Babati kuna nini tena?
   
 14. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumenuka mjomba kama mbeya na kwingine............... ila huko story ni tofauti.
   
 15. s

  sanjo JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu, tatizo la viongozi wabovu na wachoyo ni kuamini kuwa matumbo yao, familia zao na jamaa zao wa karibu ni bora kuliko umma wa Watanzania. Matokeo yake hawasikilizi mawazo na shida za watu. Haya yataendelea kutokea sana, endelea kuyashuhudia.
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  jamani mnatutisha kimenuka katika miji hiyo tatizo nini? na kunuka huko ni katika maeneo gani ya miji? naomba kujuzwa.Nalog off
   
Loading...