JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kutokana na hulka yangu adimu ndani ya JF ambayo haifanani na wengi wa waliowazoea huko wanakotokea member wengi wa JF wamekuwa waking'ang'ania kunivua nguo ili kuthibitisha jinsia yangu...
6 Reactions
18 Replies
759 Views
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule...
3 Reactions
21 Replies
859 Views
Kuna ule ushamba wa wadada wengi wa kibongo wanaoamini kwamba tango haliwezi kupikwa kama ambavyo limezoeleka kuliwa bila kupikwa. Kiukweli unakosa uhondo mwingi wa tunda hili adimu unapolitafuna...
4 Reactions
4 Replies
534 Views
Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi. Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakuu ni uhakika? Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu. Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa Mara jamaa mwingine...
5 Reactions
10 Replies
966 Views
Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi...
2 Reactions
3 Replies
635 Views
Maana nimejaribu kuzitafakari timu zote na nikagundua Simba ni .... wa Yanga siku zote.
1 Reactions
4 Replies
181 Views
Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao. Kabla sijaanza...
2 Reactions
2 Replies
508 Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
67 Reactions
258 Replies
10K Views
Huu ni utafiti wangu Usio rasmi
3 Reactions
26 Replies
830 Views
Waislam: Salamlykum ~Wakirsito:Bwana Yesu asifiwe Wanajukwaa Ninachemsha bongo hapa nataka tujadiri kwa pamoja mpaka tupate jibu swali:(nineno gani la kiingeleza lenye herufi 26 lakini lina...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu msaada maana nishaharibu huku Ni bahati mbaya tu imetokea Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Me nliwahi kupokea simu badala ya kusema "haloo" me nikasema "hodii" 😂 Lets Go
27 Reactions
78 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa...
6 Reactions
16 Replies
946 Views
Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki, unatolewa mkeka wa...
1 Reactions
11 Replies
566 Views
Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine...
2 Reactions
1 Replies
449 Views
Huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Hii mijamaa ina akili sana duuh, ebu tazama
0 Reactions
5 Replies
522 Views
Back
Top Bottom