JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sio siri mazee nimewakosa sana kwa kipindi flani....natumaini muwazima wa afya njema nimerudi jukwaani nipeni report
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Inasemekana wote waliozaliwa siku kama ya leo Feb 28 eti mwisho wao march 31 haya nyie mnaosheherekea bday zenu leo mtubu dhambi zenu na kugawa urithi mapemaaa !Msijesema sijawaambia...
2 Reactions
85 Replies
5K Views
Jamani watoto wa JF eti kombolela na kibababa mchezo upi una fans wengi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamiiforum wa MMU ningependa kujua sexy body ni ipi? sababu nimeambiwa sina sexy body.
6 Reactions
135 Replies
30K Views
Kichwa cha habari cha jieleza, Kutokana na kutokuwa pamoja kwa kipindi kisichopungua mwaka miezi nane mimi na mke wangu Arabela nimeamua nimpe talaka. Kwa sasa Arabela atakuwa huru kuanzia leo...
3 Reactions
155 Replies
8K Views
Habari za wakati ndugu wanaJF Eti ubora wa gari ni engine au body?Naomba utoe sababu kwenye comment yako.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hi to all. I've found this new interesting website to send free sms worldwide http://www.smsnetwork.org/ FREE SMS with 160 chars and your mobile number as sender, 100% like sent from your phone...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Yesterday scientists revealed that beer contains small traces of female hormones. To prove their theory, the scientists fed 100 men 12 pints of beer and observed that 100% of them gained weight...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanasema ukicheka unaongeza siku, unafikiri hii imekaa sawa kitabibu asilia?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtaani nimeanza kuitwa majina tofautitofauti , mara wanite Msimbe mara Mjane , Muhuni , Mchawi n.k n. k . Nimechoka nasema I'm tired enough ! Even birds like Njiwa that mate for life , will...
0 Reactions
164 Replies
8K Views
Mjukuu: Babu, ushawahi kupanda ndege? Babu: Ndio, mara nyingi tu Mjukuu: Hivi ndege kwa ndani ipoje? Babu: Aaah, mi nilikuwa kazi yangu kupandisha mizigo juu ya carrier. Zamani carrier zilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
http://youtu.be/pMgc2w01TzM
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Eti dogo mmja aliona katoto ka kichina kamezaliwa na mama yake wakati bado hakajakatwa hata utumbo.dogo akaenda kumwambia mama yake "mama wachina kweli wapo juu".mama akamuuliza kwanini? Dogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siyo unakurupuka tu kitandani utadhan jengo limeshika moto!! amka kwa pozi, kwanza fungua macho, tabasamu kidogo, mshukuru mungu, jinyooshe mwili kidogo, alafu ujitest kama umeamka poa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale mtakaokuwa mmeuawa siku hiyo.
1 Reactions
73 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Just for fun , kwa kujifurahisha tu kdg. Chagua herufi tatu za jina lako la kwanza Halafu chagua ziada yoyote mbili tu Mfano jina langu ni Abel , tatu za kwanza ni ABE ambayo ni Amani...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya majina yako so common katika baadhi ya makabila. Yaani huwezi kukosa ukoo mzima kukosa jina hilo. Mfano; Ladislaus- Wachaga Laizer- Wamasai Sent from my BlackBerry 9300 using...
4 Reactions
129 Replies
9K Views
Kuna tabia mbaya sana ya kunichafua humu JF ambayo imezuka siku si nyingi. Nimevumilia lakini leo nimefika kikomo naomba nitoe msimamo wangu. Napenda kuwatahadharisha wale wanaonizushia kwamba...
20 Reactions
357 Replies
16K Views
Jamani hooodiiiiii KOKUTONA anabisha hoodiii mjini
5 Reactions
178 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…