ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini mabestito
Marafiki hebu kila mmoja akumbuke na kutuelezea kitu gani alikifanya wakati akiwa
mdogo ninaposema mdogo ni pale ambapo mtu anakuwa na ufahamu mzuri wa kuweza
kutambua jambo na kufanya pia. au pale ambapo alifanya kitu
bila ya yeye kujijua,
halafu akagombezwa au akapongezwa kwa kile alichokifanya.
Hivyo rafiki uwanja ni mpana kwako sema kile ambacho uliwahi kukifanya iwe ni
kwa kujua au kutojua, au iwe ni fani chochote kile ni kutaka kufurahishana
ni kutaka kureflesh mind zetu tu hapa.
Warning: Jokes hazitakiwi hapa ni kule jukwaa lake peleka huko
copy kwa wana cc, mmu, mchepuko, teamrafiki hatuwataki teambazazi hapa
watachakachua