Nina hamu ya kupigwa

Nina hamu ya kupigwa

KATIBUA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
288
Reaction score
63
Hivi kupeleka nguruwe msikitini, kufanya fujo jeshini, kuvuta bangi kituo cha polisi, wapi kuna KIPIGO cha kutosha?
 
Hivi kupeleka nguruwe msikitini, kufanya fujo jeshini, kuvuta bangi kituo cha polisi, wapi kuna KIPIGO cha kutosha?

msiktn, ila ushke mawil kule ata kuua kupo kwa hyo usijal utapata unachotaka na zawad juu ikbdi...
 
Wanawazidi Wanajeshi?... lakini sitaki kufa nataka nipigwe mpaka niridhike.
 
dadeki nguruwe mskitini mbona utajutra jamaa wataku-ALSHABAB!!!
 
Hivi kupeleka nguruwe msikitini, kufanya fujo jeshini, kuvuta bangi kituo cha polisi, wapi kuna KIPIGO cha kutosha?

Nenda jeshn nadhan utapata kipogo hevi cha kukuridhisha...!!!
 
Jeshini kipigo kidogo na adhabu sana.. Polisi ni kipigo sana na watakufungia ndani hvyo hautafaidi saaaaana.. Mskitini ni KIPIGO mwanzo mwisho ukinusurika kifo bas mapumzko ni ICU..
 
nguruwe msikitiniiiii! mbona hutoki mzima....
 
Hivi kupeleka nguruwe msikitini, kufanya fujo jeshini, kuvuta bangi kituo cha polisi, wapi kuna KIPIGO cha kutosha?

Nenda ukaibe mitaa ya Kariakoo huko hakuna kipigo cha kutosha kuna Kifo cha kutosha!!
 
walahi tena...

nguruwe msikitini.. utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom