Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,326
- 7,807
Jamaa alianza kujisifu sana kazini kwake;
Jemsi: Wiki ijayo nafanya mtihani, ni miezi sita
Jemsi: Huyo ndie mzungu wa kwanza kuliona
Jemsi : We unamjua Graham Bell?
Devi : Hapana simjui
Jemsi : Huyo ndie alikuwa mtu wa kwanza
Devi: Jemsi unamjua Hasani Makolokocho?
Jemsi: Hapana
Devi: Huyo ndie mchepuko wa mkeo kwa miezi
Jemsi: Wiki ijayo nafanya mtihani, ni miezi sita
sasa nafanya masomo ya jioni, nimejua mengi
sana, we unamjua David Livingstone?
Devi: Hapana simjuiJemsi: Huyo ndie mzungu wa kwanza kuliona
Ziwa Victoria, ungekuwa unasoma masomo ya
jioni ungemjua huyu.
Jemsi akawa kero kazini kwa maswali yake.Jemsi : We unamjua Graham Bell?
Devi : Hapana simjui
Jemsi : Huyo ndie alikuwa mtu wa kwanza
kutengeneza simu, ungekuwa unaenda kuchukua
masomo ya jioni ungemjua.
Siku moja Devi akamwita Jemsi;Devi: Jemsi unamjua Hasani Makolokocho?
Jemsi: Hapana
Devi: Huyo ndie mchepuko wa mkeo kwa miezi
sita sasa, ungekuwa huendi kuchukua masomo
ya jioni ungemjua