Kumuona dokta ni shillingi 10,000/=

Kumuona dokta ni shillingi 10,000/=

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Babu alienda hospitali kutibiwa akiwa na mwanawe, kufika akaambiwa aanze kulipia kadi sh. 2,000 na kumuona dokta alipe sh. 10,000. Akabaki kimya kwa muda, nesi kuona vile akamuuliza
Nesi: vipi babu unawaza nini?
Babu: naona nilipie kadi tu kwanza, halafu huyo dokta niongee nae kwa simu tu inatosha mwanangu...
 
huyo babu yupo vizur ametisha sanaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom