Wakati tukoma bachelor

Wakati tukoma bachelor

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Rafiki yangu m1 bwana, alikuwa anafanya kazi NBC ss iv ni RIP, alikuwa anafurahisha. Siku 1 tuko ghetto kwake amepika ugali nyama ya mchuzi na ndo anapanga mezani, akasema, "daah, yaani hapa afadhali udondoke ugali nitaokota nifute fute nile kuliko lidondoke hili bakuli la mchuzi", ile kumaliza tu kusema, bakuli la mchuzi pwaaa, chini, tulicheka hadi machozi yakatoka!!
 
Kali ya mwaka ...nyama ndio kila kitu jamani
 
Duuu mkuu umechekesha sana jamaa alikuwa anatabili bila kujua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom