Kuna utamaduni umekuwepo sana kwenye mahusiano siku hizi na umekuwa mbaya sana na unaowaumiza watu wengi kwenye mapenzi. Kwanza kuna visa vingi vya mademu kuwa na mapenzi ya uongo na kitapeli kwa...
Ni muda mfupi tu toka niingie humu Jf, lakin sasa nashangaa kwa zile kauli za "mkuu" watu wanavyoitana humu.
Sasa nikawa najiuliza tu kwamba humu ndani kama wote ni wakuu je wasaidizi wao wako...
Kuna jamaa walikuwa wanavuta bangi, kiberiti kikaisha. Wakamtuma mwenzao mmoja nje akatafute kiberiti, yule jamaa aliyetumwa akatoka akazunguka na kurudi tena ndani kwa wenzake akawauliza 'jamaa...
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb...
Kwanza kabisa nina sura baya kwa kweli hilo nalijua. Na baada ya kujua hilo, nikasema sitaki watoto wangu wawe na sura baya kama mimi.
Kwahiyo moja ya mkakati wangu ukawa kutafuta mwanamke mwenye...
Wandugu waislam naombeni mfanye mpango mkakati sikukuu ya Idd iwe jumatatu na jumanne tafadhali...natanguliza shukrani sana ni mategemeo ombi langu litakubaliwa..
Nimemtandika vibao viwili baada ya kuchukia.
Tulikuwa sitting room tunaangalia series moja hivi ya kuhuzunisha kiukweli, sasa yeye akaanza kulia. Nikamuuliza kwanini inalia akasema movie...
Jamani mimi wazabangah1, nakumbuka mbali sana nilipotoka mpaka leo nilipo. Nime bahatika kukaa katiaka mikoa mitatu na ndani ya mikoa hiio mmoja kati ya nilibahatika kupata msichana wa kike mrembo...
Mimi kuna mmoja sitakaa nimsahau. Ilinichukua karibu mwaka mzima kumaliza hilo timbwili, ni balaa. Nilimchukulia poa bwana, si unajua kuachana kimjinimjini.
Yaani unampotezea potezea hivi, mara...
Siri ni kitu chochote ulichoamua kukificha kisidhihirike machoni au masikioni mwa wengine. Mi najiuliza we mwenzangu unayeita viungo vyako vya uzazi kuwa ni "sehemu zako za siri".
Je, umepata...
Siku yako ya kwanza kwenda ku-buy ndom enzi hizoo ilikuwaje?
Jamaa ilikuwa hivi
Jamaa ka turn 18 kapata mzigo upo geto kwa mshikaji akakumbuka dhana siunajua matangazo mengi ...
Asubuhi moja, Jamaa alipofika ofisini, alifungua email na kukuta kuna email kutoka kwa jirani yake mmoja. Alipoifungua ilikuwa imeandikwa. "Hallo, umeshaona picha ya mkeo akiwa uchi?" Jamaa kwa...