Member gani ambaye ukiona id yake lazima ucheke?

Rejao sijui yuko wapi yaani huwa nacheka hata kama ameongea maneno ya kuudhi
 
Last edited by a moderator:

hahahah... Dena Amsi....unanifanya na mimi nianze kucheka! Hivi Maria Roza bado yumo humu ndani? Nimekumbuka enzi hizoo kwenye lile jukwaa...Ooooh Nooo kumbe huu mwezi mtukufu!! Nakutakia mfungo mwema!
 
Unajua huwa nacheka kwanini?? Sura yako na ujanja wako unakwenda huko kwenye siasa unaharibu hali ya hewa halafu unachomokea zako MMU/CC unarelax watu wanabaki wanatoana macho weee aaahhh kwa raha zako. Kumbe upo nilikumiss sana

cc Maria Roza Rejao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom