Picha za mkeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za mkeo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa Nyumbani, Apr 26, 2012.

 1. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asubuhi moja, Jamaa alipofika ofisini, alifungua email na kukuta kuna email kutoka kwa jirani yake mmoja. Alipoifungua ilikuwa imeandikwa. "Hallo, umeshaona picha ya mkeo akiwa uchi?" Jamaa kwa hasira akajibu "hapana!!" na kuituma huku akifikiria kwa nini alikuwa ameandika hivyo.. Baada ya muda ya muda ikaja email nyingine kutoka kwa huyo jirani yake. Jamaa akajua labda jirani yake anataka kuomba radhi. Akaifungua haraka na kukuta imeandikwa, " Naziuza, Je unataka kununua baadhi?
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Daaah.....!!
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nachinja
   
 5. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  sasa wamchinja nani mkeo au muuza picha?
   
 6. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh noumer
   
 7. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  ninunue picha ili iweje?
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh.....
   
 9. M

  Mboerap Senior Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafunga moyo, namwambia aniletee nione
   
 10. T

  TUMY JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sipati picha nini kingetokea
   
 11. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  huyo jirani mjinga atamuuziaje picha ya uchi mtu ambaye akitaka kumuona akiwa uchi anamwambia tu azivue nguo na atamuona mpaka atakinai mwenyewe. kuona picha na kuona moja kwa moja ana kwa ana ipi bora?. nina hakika huyo jamaa hawezi kununua picha ya mkewe akiwa uchi hata kama ikiwa hawana tabia ya kuoga pamoja bafuni.
   
 12. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2014
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha huwezi jua, labla jirani anataka kumuuzia jamaa ili asiziuze kwa mtu mwingine?
   
 13. B

  BatteryLow JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2014
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  kama fisadi m1 alivyonunua magazeti yote ya cku nzima!!!
   
 14. SHOOyaKIBABE

  SHOOyaKIBABE JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2014
  Joined: Feb 10, 2014
  Messages: 1,589
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Wtf...
   
 15. mapengo junior

  mapengo junior JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2014
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  napita......................
   
 16. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2014
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mwambie huhitaji halafu kanunue bunduki
   
Loading...