Hivi hizi ndoa zipoo au zimekufa!!!!???

Hivi hizi ndoa zipoo au zimekufa!!!!???

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Mom Fay
Vs Arovera

Matola
Vs lara 1

Oooh!!! Piko wangu , INA sijui rangi khhaa kwani mnadhani tulikuwa hatuumii?? Hahaaha vijino pembe!!! Ooohh my arovera sijui miarobaini na miashoki! mko wapi sasa??
 
Last edited by a moderator:
Kha!watu wanayaweza?yani anajichombeza mwenyewe kwa maneno mazuri.Haya my wii mbona ulinidanganya utakuja home jamani????

Khaaaa sasa kama hayupo wa kukuchombeza unafanyaje? Nisamehe wii ntamwambia kaka yako tuje weekend hii
 
Ndoa ipo gadooooo! Acheni basi unaa nipewe hela ya nauli mwenzenu! Naonheza mauno kumkoleza huyu mwanaume!
 
Back
Top Bottom