JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo matano kuhusu wewe. Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe 1. Wewe ni mvivu sana. Hujasoma "Wewe" zote. 2. Hujagundua kuna mahali nimeandika...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
KWEMA wakuu nipo jijini hapa Dar kama una muda karibu tupombeke
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Demu: Baby ninamimba yako.. Jamaa: What? Daah ila hata mimi mwenyewe nahisi nina Ebola. Sasa kama vipi naja kukupitia twende hospitalini baby wangu Demu: Mxiiuuww baby wako nani? Nyoo kaa huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Suala hili Wadu nahisi lina ukweli,Kwani wafanyakazi wenzangu wote waliotokea mkoani singida hawana ndevu, fanyeni utafiti mtakubaliana na mm, Je tatizo ninini? Ni hawa Punda wanaowala au...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wandugu wote wana CC, MMU na JF kwa ujumla! Kwa masikitiko makubwa, naomba kuwataarifu kuwa ndugu yetu, dada yetu, na mama yetu Mamndenyi amefiwa na baba yake mdogo huko Moshi. Hivi...
9 Reactions
158 Replies
10K Views
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;; 1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula. 2. Chausiku…..nipe...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
--McHaGa kamToa mkE wakE OUT.. MCHAGA:-ChipS Mayai bEi Gani aisEe?? MUHUDUMU:-ElFu mbiLi Tu. MCHAGA:-Zina kacHumbari aisEe??? MUHUDUMU:-Ndio! -! MCHAGA:-KacHumb -ari mnauZajE...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau,habari zenu nijuavyo haya majina ya vituo vya daladala yalikuwa yanawakilisha asili ya kitu,eneo,mtu au mazingira fulani.ila majina ya vi2o vya tandale na sinza huwa vinanifurahisha sana...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Habari wadau, Kama wewe ulisoma karatu sec njoo hapa tukumbushane yetu enzi hizo na kushare experience na wenzako. Karibuni vijana wa Kibatala, Kitemango, Songoi n.k
0 Reactions
0 Replies
3K Views
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna blog nilikuwa nasoma ...kuwa kila wilaya ina sifa zake na tabia ...... Sifa za wilaya ya Kinondoni 1.starehe 2.ulevi na kukaa sana bar 3.biashara ya ngono ndo inaongoza kuwa wateja wengi...
0 Reactions
28 Replies
49K Views
Kunukuu maneno ya mwimbaji drake; Baby you're my everything, you're all I ever wanted We could do it real big, bigger than you ever done it You be up on everything, other hoes ain't ever on it...
4 Reactions
100 Replies
7K Views
Habari wakuu, mimi ni kijana mwenye miaka 25..ni mweusi sana...na mrefu wa wastani....na sio mnene ..ningependa wakuu mnipe hints za kuvaa..ili na mimi nionekane smart...kama vijana wenzangu...
0 Reactions
68 Replies
16K Views
kumbe usiku changu...kudadeekii
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeitoa hukoo Facebook kwa bwana wa kuitwa Ramadhan Lutambi 1.Mvuta sigara hazeeki, Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu. 2.Mvuta sigara haumwi na mbwa. Haumwi na mbwa kwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani mbona mlima wa mto wa Gertrude Rwakatare haukuwaunguza waliobomoa nyumba zake nne juzi mbezi beachi. Nguvu za upako hazikuwazuia wasizibomoe. Duniani kuna mambo!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani jana niliamua kupitia kwenye ofisi za mitandao ya simu maana mie ninatumia laini mbili voda na airtel, nilipita kuulizia salio langu tangu nianze kutumia Simu, lahaulaa sikuamini masikio...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…