Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
We wawapi?story hii ina miezi 3 ndo unaitoa leo.
Ina miezi 3 hapa JF eddy brown? Kama uliisoma mahali miezi 3 iliyopita, kumbuka huku afrika tupo nyuma sana kihabari kwa hiyo usimbeze mleta thread.We wawapi?story hii ina miezi 3 ndo unaitoa leo.
Mwanamke akikupenda sana ni kero kubwa sana kwako.Kila baada ya nusu saa anakupigia simu: Uko wapi sasa bebi? Unafanya nini? Njoo na Redds kopo mbili sweet wangu. Usisahau sambusa daling. Full usumbufu, simshangai huyo dada wa New Mexico.Alikuwa anampenda sana huyo boyfriend wake.