Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 377
Suala hili Wadu nahisi lina ukweli,Kwani wafanyakazi wenzangu wote waliotokea mkoani singida hawana ndevu, fanyeni utafiti mtakubaliana na mm, Je tatizo ninini? Ni hawa Punda wanaowala au? Usiniulize Mwigulu Nchemba mbona anazo, Yule ni msingida jina tu, hajazaliwa wala kukaa kule.