Swagga za masista duu pori!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;;
1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.

2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia

3. Siwema….nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele

4. Gulo….Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu London nikale Chrismas

5. Cynthia…Nimenunua BlackBerry wamenambia PIN nikaipitie kesho

6. Fulo....Mi napendaga kusafiri na Presishen, napenda viti vya dirishani, mtu unakaa unafungua kioo chako hewa safiii mpaka mwisho wa safari.:p

7. Fatu….kiukweli mi niliipenda London kuliko Uk
 
uswazi hakunaga wakina cynthia. lakini hata humu kuna mtu aliwahi sema ''kazaliwa houston kakulia texas''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom