JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sijui ni ugonjwa au mazoea ...wakati wa mitihani watoto wapo bize na vitabu kujisomea , kwa hali hii wataelewa kweli na kuelimika?
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Hakuna.baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba majukumu mtaji wako
0 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wana MMU hivi kweli mwanaume anaweza kukaaa mbali na mpenzi/mke wake kwa zaidi ya mienzi 3 bila kufanya mapenzi?
0 Reactions
30 Replies
22K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JE! HUYU KICHAA AMEPONA KWELI?TOA MAONI YAKO:- John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia sauti ya kuitwa njoo njooo njooo nimejikuta chit chat,najiona mupya hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mwanamke yuko hapa ni mbishi sijawahi ona. Anadai eti oo hawezi kutumia jina la UKOO WA MUME wake. Khaaaa, nikamwambia ajifunze kwa ma-first lady maana wao wanatumia majina ya waume zao yaani...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Siwaelewagi humu sema hua nacheka sana nikisoma comment za masihara but n kutokujiamini au ?????
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati mwingine ni haraka tu ndo inawafanya waongee sivyo ndivyo, lakini matamshi yote wanayo kinywani, kama huyu eti anasema "Nasimba simo chimba akija alumbukie".
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa. Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa. Nimesikia kwa mtu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Alinikorofisha akomba msaada jf nikamshauri bila ya kujua ni yeye wala yeye asijue ni mimi akanitafuta tukakutana kwe kioski....unajua mambo yalikuaje....tulia kidogo story inakuja.....
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Uambiwe uchague kimoja wapo na ukifanye kwa ufasaha hasa, chakwanza uende ukafanye fujo na kutukana katika kambi ya Jeshi, au upeleke nguruwe msikitini? kipi ni rahisi hapo?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
AnyeonghaseyooooooooooOoooooooooooooooooooo! Shosti wetu 41 yrs old Gabrielle Union alisema haya wakati wa divorce yake ya kwanza! "I spent so much time of my marriage upset, Things like he is...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanaume ambao hawaishi nyumbani kwa wazazi wao ndio wanaongoza kwa kugegeda wanawake bure, uchunguzi huu umefanyika kwa kipindi kirefu kidogo. Wanaume ambao wanaishi kwa wazazi wao/ndugu zao/kwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Jamaa alikuwa anajaribu kukwepa malipo baada kufanyiwa operation ya macho, kwa kusema ''bado sioni'' Doctor akamwambia Nesi avue nguo mbele yake. JAMAA. ''bado sioni'' Dr. akamwambia nesi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
"Unasema unao uwezo wa kuifundisha time yetu ya mpira wa miguu,je umewahi kufundisha timu zipi?" "Niliwahi kuwa kocha wa Argentina,Chelsea,Arsenal na Barcelona,lakini zote ni za Manzese"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…