unakuta wadada au wanaweke kila kitu walichonacho miilini mwao ni bandia(fake)
nywele bandia
kuchabandia
kope bandia
makalio bandia
nyusi bandia
weupe bandia
sura bandia
cha kushangaza eti...
GIRL: Baby, hebu niambie
harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi
kushuhudiwa, ngoja nikupe
kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee...
BOY: Kwanza siku ya kupeleka
mahari nitaswaga zizi zima la...
Mama mjamzito aliketi vibaya karibu na kijana wake mdaku wa miaka mitatu akionyesha na hakuwa na chupi. mwanaye akaona manywele kama ya kichwa akaanza kutabasamu kisha akaambia mamake, "mum, najua...
Mshikaji, swahiba na rafiki yangu amejikuta njia panda asijue LA kufanya baada ya msambinungwa/demu/girlfriend wake kupinga kitendo cha kuvunja mahusiano yao km hatanunuliwa Gari.
Kwa kifupi...
Mama mjamzito aliketi vibaya karibu na kijana wake mdaku wa miaka mitatu akionyesha na hakuwa na chupi. mwanaye akaona manywele kama ya kichwa akadhani ni ndevu. akaambia mamake, "mum, najua...
Usiku wote huu wa manane mko macho! mtalala saa ngapi? mnawaambia nini wenza wenu? mnawapa upweke kwakweli wanahitaji kajoto kenu na mengineyo...!!! laleni sasa la sivyo mtaitwa mapopo wa JF!
Nimekuwa najiuliza hili swali bila majibu!Mwanamke anayepata ujasili wa kumtongoza mwanaume anakuwa amependa/ni malaya/anajigonga/anajiamini/n.k!.??
Kuna jamaa yangu ana mtazamo kuwa mwanamke wa...
Wametengeneza mbege ili kuokoa bajeti ya pombe chakula na dawa wanaitumia mbege kama kifungua kinywa asubuhi, wanaitumia kama lunch, wanaitumia kama kilevi wanaitumia kama dawa ya...
Hii ni baada ya kutafuta sababu nazo zikawa nyingi.
Nianze kwa kusema wakubwa habari' wadg nao pia hamjambo!
Nitaeleza kwa kifupi sn
Nnampenzi /MCHUMBA/kila anaponiona nikipita huwa...
Unapopatwa na matatizo jirani yako ndie wa kwanza kukusaidia
...akiomba unga umpatieee
akiomba chumviiii.....umpatieeeee
akiomba friday umpatieeee......
Inaboaje? Unakuta dume zima linacheza candy crush.
Michezo ya kiume iko mingi. Kuna ya kivita, mbio za magari, soka nk. Candy Crush ni kwa ajili yet mtuache tujinafasi.
Kama mnavyojua daladala zetu kutoka mjini mida ya jioni bila kutanua kigimbi utasimama mpaka kwenu...hii ilitokea jana kwenye daladala inayotokea posta kwenda makumbusho..madada wawili masista duu...
Nitafsirieni maana ya hili neno kwasababu kuna ubishi kati yetu hapa. Jamaa kaenda kwa mchumba wake bila kumpa taarifa na kufika tuu akachukua simu yake akaanza kupekua. Kwenye whatsapp kakuta...