Tucheke saturday..!!

Tucheke saturday..!!

Fasouls

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
937
Reaction score
321
Mlevi mmoja alikua anakula ugali na samaki,

Mke wake akamwambia
"Mume wangu angalia miba"

Mlevi akajibu

"Usijali mke wangu nimeva viatu"
 
Kwi kwi kwi.... Yani hy maana yk habakishi kitu vyote anakula anaacha vyombo 2
 
Back
Top Bottom