Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Wametengeneza mbege ili kuokoa bajeti ya pombe chakula na dawa wanaitumia mbege kama kifungua kinywa asubuhi, wanaitumia kama lunch, wanaitumia kama kilevi wanaitumia kama dawa ya kusafisha tumbo, wanaitumia kama kata kiu. ndio maana uchagani hata mtoto mdogo anakunywa mbege ila shida ni moja tu haina alkohol percentage