basi leo asubuhi nimemuona
mrembo mzuri masikini hata
hawezi kugombania gari, nikaona
hapa hapa ndio pa kuchukua ujiko!
Nikapanda fasta nikawahi siti ya
watu wawili halafu nikakaa katikati
ili...
Guyz mwenye vichekesho vya huyu dada naomba anitumie Uganda comedy yule yule wa min buzzz plz mwenye navyo anitumie hapa 0759746825 nitafurahi sanaa
KARIBU
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee...
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la...
WANAWAKE SASA WAMEFIKA
MWISHO coz mwanaume
akiitwa DANIEL utasikia
mwanamke eti ye ni DANIELLA
mwanaume akiitwa MAXWEL
utasikia mwanamke eti ye ni
MAXWELLA mwanaume akiitwa
EMANUEL utasikia...
Hivi ni lazima kila bint/mama awe na kidoti
Simaanishi vile vya kuzaliwa kama kidoti(joketi)
Siku hizi kumukuwa na wimbi la wasichana kuwa na vidoti usoni mwao
Kuna vile feki na vya...
A man is getting into the shower just as his wife is finishing up her shower, when the doorbell rings.
The wife quickly wraps herself in a towel and runs downstairs.
When she opens the door, there...
Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani,baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa.Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe",Petro alinyanyuka na...
Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa,ila hizi zimefeli........tujipange ..
1;Balaa balaaa by Smile
2;paka amekufa by willbert1974
3;misemo ya hatari by mwakibinga.jr
4;petro kalete jiwe by...
Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?
mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza...
Kwa mfano una line mbili mpya za simu, moja ya voda na nyingine ya tigo. Ukanunua vocha ya sh.2000 ya voda, ulipoiweka tu ikaliwa. Ukanunua na vocha ya sh.500 ya tigo...ulipoieweka tu nayo...
Kwa mfano leo hii hapo ulipo ukagundua maisha yote ulio ishi ni ndoto
unashtuka upo darasan darasa la kwanza umelala kwenye dawati
una madaftari yako ya mistari mikubwa na midogo na mwalimu...
1.Starehe za kufuatwa kwao na gari ''closed''
2.Demu kujidai gari yake ''closed''
3.Heshima kwao mchumba ana gari "closed''
4.Kudeka kutembea na gari Mwenge to posta "closed''
5.Alijifanya...
Siku moja jamaa mmoja bahili sana alikuwa na njaa lakini pesa ya kununulia chakula hana akamuomba Mungu ...Eewe Mungu nijaalie niokote japo elfu 2 tu naapa elfu 1 nitairudisha kwako kama...
Wakuu Salaam
Kama kawaida ya kuanza darasa la semina kila mmoja hupata furusa ya kujitambulisha, ilikuwa semina mchanganyiko kaanza wa kwanza:
1. Mimi (Jina) ni mfanyakizi wa bandari kitengo...