BATTO
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 282
- 207
Siku moja jamaa mmoja bahili sana alikuwa na njaa lakini pesa ya kununulia chakula hana akamuomba Mungu ...Eewe Mungu nijaalie niokote japo elfu 2 tu naapa elfu 1 nitairudisha kwako kama sadaka.,Baada ya maombi akaenda zake ghafra akaiona noti ya shilingi elfu 1 jamaa akaikota ..akasema daah..! Mungu wa ajabu kweli yani ameshakata chake kabisaa..! kudadadeki..! yani ana machale mbona ingekula kwake..!