mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
Hivi ni lazima kila bint/mama awe na kidoti
Simaanishi vile vya kuzaliwa kama kidoti(joketi)
Siku hizi kumukuwa na wimbi la wasichana kuwa na vidoti usoni mwao
Kuna vile feki na vya kuzaliwa
Nabaki najiuliza ni urembo au kutokujiamini au tamaa
Wanawake tujiamini

Mungu Ana kusudi lake kuumba hivyo ulivyo
Ref: dida diva joketii