swali jepesi wadau nahitaji majibu

swali jepesi wadau nahitaji majibu

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
118
Kwa mfano leo hii hapo ulipo ukagundua maisha yote ulio ishi ni ndoto
unashtuka upo darasan darasa la kwanza umelala kwenye dawati
una madaftari yako ya mistari mikubwa na midogo na mwalimu anakufundisha somo la mwandiko

#utafanyaje ,,,? duuh kama unajibu zur kam inbox
 
Nimeshtuka niko darasa la kwanza sasa mbona Mitandao ipo na jamii forum ipo au vyenyewe sio sehemu ya Ndoto yenyewe?! Kwasababu wakati nipo la kwanza hakukuwa na internet wala jamii forum!!
Subiri nikimaliza Sekondari na ukaanza mtandao nitakuja kukujibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom