JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je waweza tambua katika mazungumzo (mabishano) yafuatayo ni kati ya nani na nani? Yaani X ni nani na Y ni nani? Mazungumzo yapo hivi: X : Mimi naweza kusimama bila miguu. Y : Acha jeuri mimi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.
0 Reactions
75 Replies
13K Views
Jamani naomba kuuliza, nilisoma humu kuwa kutakuwa na JF PARTY around mwezi wa sita au saba hivi na ingefanyika Serena AU Kempiski. Je! ilishafanyika nimepitwa au bado? Kama bado itafanyika...
4 Reactions
389 Replies
19K Views
I have learned a lot in life. It is better to be alone than to have a coupe of fake and pretending friends. Siwataki kabisa nyinyi tena mnikome kabisa. Siwahitaji. Leave me alone.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Fresh air...fresh idear...fresh talent...fresh energy.... I wish u to have a special sunday...marvellous monday....tasty tuesday....wonderful wednesday...thankful thursday....frandly...
3 Reactions
95 Replies
5K Views
Ni M/kiti wa Chama Cha Maendeleo Ya Wanaume Kenya. Pia anamiliki advisory group ambayo aim ni "to counter focus on women & girls affairs at the expense of men & boys". Njoka ni famous kutokana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeshasoma thread kadhaa za watu waliopigwa ban hapa JF. Kwenye thread hizo wanazoandika baada ya kumaliza ban, wanajf hao hulalamika sana kwamba wameonewa kwa kupigwa ban au wanawalalamikia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwalimu; madenge tokea uanze kusoma jografia ni maziwa gani makubwa unayoyajuwa, Madenge; najuwa la hadija yusuf na aisha mashauz!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni, Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kupenda vya bure
5 Reactions
54 Replies
4K Views
ikiwa kaka yako ameoa utasema kaka yangu ana mke je ikiwa una kaka wengi na wote wakaoa utasemaje??????
0 Reactions
10 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilipanda daladala kutoka Temeke kwenda Mkuranga. Ndani ya daladala tukawa tunatumbuizwa na nyimbo za kizazi kipya. Ikafika wakati wakaweka wimbo wenye kiitikio "naweka, natoa". Basi dada mmoja...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Taja jina la mtu unayeona anafaa kuwa kwenye nafasi husika katika serikali yetu hapa jukwaani "JF" kama ilivyo ainishwa hapa chini. NB.Mtajwa ni sharti awe membea hai wa JF. A.SERKALI KUU YA...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari zenu jf, kuna mama mmoja nilikuwa nine panda naye gari akawa anazozana na vijana wawili akiwaambia kwa nn wamevaa mlegezo,madai ya huyu mama ameishi Mombasa at anajua maana ya mlegezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ni umri upi sahihi wa kuingia kwenye ndoa ili kuweza pata watoto wa 3. bila matatizo ya uzazi?? naomba kujua.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi jamani mnaonaje kwenye club kuwe na hela ya kutokea sio kuingilia pekeyake...nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa anatembea kitaa huku njaa kali ikimnyanyasa na mfukoni hana hata bati.Mara akaliona bango la restaurant moja limeandikwa;'KULA KADRI YA UWEZO WAKO ,BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'.Jamaa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90... 1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'...
6 Reactions
57 Replies
7K Views
Mtoto kasikia mama usiku akimwambia baba mi natakaa, nipee tena, nipe nilambe, baba aka mwambia fungua zp. Mama akasema tamu, du mtoto kakurupuka akamwambia baba yake na mi nataka ckajua pipi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…