delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,001
- 1,292
Aina za vimada
1.Wale wa chapa ilale, huyu ni one nite stand, flirting, sio serious, nikikumbuka nakusaka, nakuchapa, no string attached, baadae tukikutana ni mchuno kama hatujawahi juana, hii ni kata kiu na huwa haizai serious affair, inaishia juu kwa juu.
2.Huyu ni mtoto flani mzuri, anapendeza kupigwa shopping, kwenda nae RG, kushow off round table, huyu ana gharama za simu za kisasa, nywele za wale waliofungwa saba moja kwenye world cup, anachapwa miti kwenye gari, anapiga sana blow job, jamaa anasafiri nae places, yani anaenjoy maana mara nyingi its about the image, alivyo alivyo mbichi mbichi, ila kutokana na cost huwa hadumu sana huyu, halafu anaweza mix hubby na mshkaji wake maana yuko kimaslahi too much.
3.Huyu wa tatu sasa, ndio wale wanapangishiwa nyumba, wana assume kingdom, wanalelewa na ndio wanaweza kukujibu wewe mke mavi, yaani hawa huwepo huwepo kwa muda, ndio wanaweza nunuliwa vits, hawa hutumia ujanja wa kumrubuni mume kutoa weakness zako waact against them.
wengi wako kwenye 25 to 30,wana pressure,age mate zao wanaolewa,yani ukisikia kuna .....tatu inaendelea,ukisikia kunaowaendea wanaume za watu kwa kalumanzila, ujue wanafall group hii, hawa ni stress kwa wife maana huwa ni "wife wanna be"huota kumtoa mke ndani waingie wao. Yaani battle lao na mke ni kubwa, ila wakikosaga hope ya future huishia kujibebesha mimba, halafu wakizaa wanakuwa tu kama wife or worse than wife.
Zile ahadi za wife ataachwa huwapita pembeni, mume hurudi kwa mkewe na wao huishia kuokoka na kumrudia Mungu na kuwa single parents wakitumiwa matumizi kwa mbali".
4. Sasa namba nne ndio mwisho. Ukiwa wife sali sana mumeo asiishie kwa huyu aisee...hawa bwana huwekeza, anaweza lipia wanao ada huyu, hubby akienda kwake anaangalia saa anamwambia saa mbili baba rudi kwa mkeo.
Hubby akikunanga yeye anakutetea wewe mke, wakisafiri ananunua zawadi zako kwa hela ya mumeo ama yake, huyu haombi hela ndogo, anakulelea mume, na mara nyingi si mwanamke mwenye shida ndogo ndogo, akipiga bomu ni vitu serious kama plot ya 20m ana adabu na nidhamu.
Mume hufall kwake na wallah mume hawezi kumuacha coz she is too good to be true, ana pendeka, mkarimu, ana mpa mawazo ya biashara,yaani anakujua kuliko unavyojijua, ukisafiri yeye ndio anabook ur flight ticket, ana kuheshimu, anajua ye anachopata so hana intention ya wewe kuachwa maana kwanza anapenda uhuru wake, mara nyingi wanake na wanako wanaweza kuwa classmates bila wewe kujua.
Yaani huyu ndio mambo yote, wahivi huna jinsi ya kumng'oa zaidi ya kusugua goti chini.
Only God can intervene.