Kina dada na picha za kimgongo mgongo

Kina dada na picha za kimgongo mgongo

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...

Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?

Mi huwa natupia "Like" tu...
 
Mkuu lengo ni kuonyesha figure au usafiri aliokuwa nao kwani we hujawahi kuona wakiweka lips huku wamekuja midomo as if wanakiss au kimumunya something.
 
Neema za Allah by sheikh Kipoozeo
 
Ukipita huko facebook na
instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu,
lazima moja inakuwa imepigwa from behind...

Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?

Mi huwa natupia "Like" tu...

show what u have
 
wanaume mkipishana na wadada mnapogeuka mnaangalia wapi?

Kwahyo wanawarahicshia..
 
Hiyo ndo habari ya mujini na ukijifanya mshamba anakutelezeshea dubwi!!!!!
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...

Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?

Mi huwa natupia "Like" tu...
 
Tena anaweka na salamu, "za asubuh wapendwa nawatakia siku njema"na Hizo picha ndo zinasukumia. Lkn Sisi ambao hatujaaliwa neema za Allah hata atuchubutu!!
 
Back
Top Bottom